John 15:3
Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now ye are clean through the word which I have spoken unto you.
In Context
Cross References
John 13:10Yesu akamjibu, “Mtu aliyekwisha kuoga anahitaji kunawa miguu tu, kwani mwili wake wote ni safi. Ninyi ni safi, ingawa si kila mmoja wenu.”
Ephesians 5:26kusudi alifanye takatifu, akilitakasa kwa kuliosha kwa maji katika Neno lake,