Mark 14:27
Yesu akawaambia, “Ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”
Cross References
Matthew 26:31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu, ninyi nyote mtaniacha, kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Nitampiga mchungaji, 2 nao kondoo wa hilo kundi watatawanyika.’
John 16:1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.
2 Timothy 4:16Katika utetezi wangu wa mara ya kwanza, hakuna hata mmoja aliyeniunga mkono, bali kila mmoja aliniacha. Namwomba Mungu wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.