John 16:4
Lakini nimewaambia ninyi mambo haya, ili saa hiyo ikiwadia mpate kukumbuka ya kuwa nilikuwa nimewaambia. Sikuwaambia mambo haya tangu mwanzo kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi. 1 Kazi Ya Roho Mtakatifu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Nao watawatenda haya kwa sababu hawamjui Baba wala mimi.
5“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?’
Cross References
Isaiah 41:22“Leteni sanamu zenu zituambie 2 ni nini kitakachotokea. 1 Tuambieni mambo ya zamani yalikuwa nini, 2 ili tupate kuyatafakari 2 na kujua matokeo yake ya mwisho. 1 Au tutangazieni mambo yatakayokuja, 2
Matthew 10:7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’
Mark 2:19Yesu akawajibu, “Wageni wa bwana arusi wawezaje kufunga wakati angali pamoja nao? Wakati bwana arusi bado yuko pamoja nao, hawawezi kufunga.
Luke 21:12“Lakini kabla yote hayajatokea, watawakamata ninyi na kuwatesa. Watawatia mikononi mwa wakuu wa masinagogi na kuwafunga magerezani. Nanyi mtapelekwa mbele ya wafalme na watawala kwa ajili ya Jina langu.
John 14:29Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini.
Acts 9:16Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”