John 16:6
Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But because I have said these things unto you, sorrow hath filled your heart.
In Context
5“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?’
Cross References
Luke 22:45Baada ya kuomba, akawarudia wanafunzi wake akawakuta wamelala, wakiwa wamechoka kutokana na huzuni.
John 14:1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
John 16:20Amin, amin nawaambia, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi. Ninyi mtahuzunika, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.