John 17:15
Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu.
Cross References
Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”
Psalms 30:9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? 2 Katika kushuka kwangu shimoni? 1 Je, mavumbi yatakusifu? 2 Je, yatatangaza uaminifu wako? 1
Ecclesiastes 9:10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.
Isaiah 57:1Mwenye haki hupotea, 2 wala hakuna hata mmoja awazaye hilo moyoni mwake; 1 watu wanaomcha Mungu huondolewa, 2 wala hakuna hata mmoja anayeelewa 1 kuwa wenye haki wameondolewa 2 ili wasipatikane na maovu. 1
Matthew 6:13Usitutie majaribuni, 2 bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu 1 [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, 2 na utukufu, hata milele. Amen].’
Luke 11:4Utusamehe dhambi zetu, 2 kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. 1 Wala usitutie majaribuni 2 (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”