Yohana 17:16
Wao si wa ulimwengu huu, kama vile mimi nisivyo wa ulimwengu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
They are not of the world, even as I am not of the world.
In Context
15Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.
17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.
Cross References
John 17:14Nimewapa neno lako, nao ulimwengu umewachukia kwa kuwa wao si wa ulimwengu kama mimi nisivyo wa ulimwengu huu.