John 18:29
Hivyo Pilato akatoka nje walikokuwa akawauliza, “Mmeleta mashtaka gani kumhusu mtu huyu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Pilate then went out unto them, and said, What accusation bring ye against this man?
In Context
30Wao wakamjibu, “Kama huyu mtu hakuwa mhalifu tusingemleta kwako.”
Cross References
Matthew 27:11Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.”
Mark 15:2Pilato akamuuliza, “Je, wewe ndiye Mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe umesema.”
Acts 23:28Nilitaka kujua kwa nini walikuwa wanamshutumu, hivyo nikamleta mbele ya baraza lao.