The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 18 › John 18:33

John 18:33

Kwa hiyo Pilato akaingia ndani ya jumba la kifalme, akamwita Yesu, akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then Pilate entered into the judgment hall again, and called Jesus, and said unto him, Art thou the King of the Jews?

In Context

32Walisema hivyo ili yale maneno aliyosema Yesu kuhusu kifo atakachokufa yapate kutimia.

34Yesu akamjibu, “Je, unauliza swali hili kutokana na mawazo yako mwenyewe, au uliambiwa na watu kunihusu mimi?”

Read all of John 18

Cross References

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Zephaniah 3:15Bwana amekuondolea adhabu yako, 2 amewarudisha nyuma adui zako. 1 Bwana, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe; 2 kamwe hutaogopa tena madhara yoyote. 1

Matthew 27:11Wakati huo Yesu akiwa amesimama mbele ya mtawala, mtawala akamuuliza, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akasema, “Wewe wasema hivyo.”

Luke 19:38“Amebarikiwa Mfalme ajaye kwa Jina la Bwana!” 2 “Amani mbinguni na utukufu huko juu sana.”

John 1:49Nathanaeli akamwambia, “Rabi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni Mfalme wa Israeli!”

John 12:15“Usiogope, Ewe binti Sayuni; 2 tazama, Mfalme wako anakuja, 2 amepanda mwana-punda!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 18:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 18:32John 18John 18:34 →