John 2:4
Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus saith unto her, Woman, what have I to do with thee? mine hour is not yet come.
In Context
3Divai ilipokwisha, mama yake Yesu akamwambia, “Wameishiwa na divai.”
5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”
Cross References
2 Samuel 16:10Lakini mfalme akamwambia, “Mna nini nami, enyi wana wa Seruya? Ikiwa analaani kwa sababu Bwana amemwambia, ‘Mlaani Daudi,’ nani awezaye kuuliza, ‘Kwa nini unafanya hivi?’ ”
Ecclesiastes 3:1Kuna wakati kwa ajili ya kila jambo, 2 nayo majira kwa kila tendo chini ya mbingu: 2
Matthew 15:28Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.” Naye binti yake akapona tangu saa ile. 1 Yesu Aponya Watu Wengi
John 7:6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.
John 8:20Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake Mwenyewe
John 13:1Ilikuwa mara tu kabla ya Sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua ya kuwa wakati wake wa kuondoka ulimwenguni ili kurudi kwa Baba umewadia. Alikuwa amewapenda watu wake waliokuwa ulimwenguni, naam, aliwapenda hadi kipimo cha mwisho.