John 21:6
Akawaambia, “Shusheni nyavu upande wa kuume wa mashua yenu nanyi mtapata samaki.” Wakashusha nyavu na tazama wakapata samaki wengi mno hata wakashindwa kuvutia zile nyavu zilizojaa samaki ndani ya mashua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Yesu akawaambia, “Wanangu, je, mna samaki wowote?” Wakamjibu, “La.”
Cross References
Matthew 7:27Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja, nao upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa.”
John 2:5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”
Acts 4:4Lakini wengi waliosikia lile neno waliamini, idadi yao ilikuwa yapata wanaume 5,000.