John 21:7
Yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu akamwambia Petro, “Huyu ni Bwana!” Simoni Petro aliposikia haya, akajifunga nguo yake kwa kuwa alikuwa uchi, naye akajitosa baharini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 118:23Bwana ametenda hili, 2 nalo ni la kushangaza machoni petu. 1
Matthew 14:28Petro akamjibu, “Bwana, ikiwa ni wewe, niambie nije kwako nikitembea juu ya maji.”
Luke 2:11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo + 2:11 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Bwana.
John 13:23Mmoja wa wanafunzi wake ambaye Yesu alimpenda sana, alikuwa ameegama kifuani mwa Yesu.
John 20:2Hivyo akaja akikimbia kwa Simoni Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, na kusema, “Wamemwondoa Bwana kaburini, na hatujui walikomweka!”
John 20:28Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”