John 3:7
Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Marvel not that I said unto thee, Ye must be born again.
In Context
6Mwili huzaa mwili, lakini Roho huzaa roho.
Cross References
Matthew 13:33Akawaambia mfano mwingine, “Ufalme wa Mbinguni unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 1 Sababu Ya Yesu Kutumia Mifano (Marko 4:33-34)
John 3:12Nimewaambia mambo ya duniani, nanyi hamkuniamini, mtaniaminije basi nitakapowaambia mambo ya mbinguni?
John 6:61Yesu alipojua kwamba wafuasi wake wananungʼunika kuhusu mafundisho yake, akawaambia, “Je, jambo hili limewaudhi?
Romans 9:22Iweje basi, kama Mungu kwa kutaka kuonyesha ghadhabu yake na kufanya uweza wake ujulikane, amevumilia kwa uvumilivu mwingi vile vyombo vya ghadhabu vilivyoandaliwa kwa uharibifu?
Ephesians 4:22Mlifundishwa kuuvua mwenendo wenu wa zamani, utu wenu wa kale, ulioharibiwa na tamaa zake za udanganyifu,
Hebrews 12:14Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu, ambao bila kuwa nao hakuna mtu atakayemwona Bwana.