John 3:8
Upepo huvuma popote upendapo. Mvumo wake unausikia lakini huwezi ukafahamu utokako wala uendako. Ndivyo ilivyo kwa kila mtu aliyezaliwa na Roho.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’
9Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Cross References
Job 37:10Pumzi ya Mungu hutoa barafu, 2 eneo kubwa la maji huganda. 1
Job 37:21Basi hakuna awezaye kulitazama jua, 2 jinsi linavyongʼaa angani, 2 upepo ukishafagia mawingu. 1
Psalms 107:29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, 2 mawimbi ya bahari yakatulia. 1
Isaiah 55:9“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, 2 ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu 2 na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. 1
Mark 4:26Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani.
John 1:13Hawa ndio wasiozaliwa kwa damu, wala kwa mapenzi ya mwili au kwa mapenzi ya mtu, bali kwa mapenzi ya Mungu.