The Bible Software
bible.softwareMarkMark 4 › Mark 4:26

Mark 4:26

Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, So is the kingdom of God, as if a man should cast seed into the ground;

In Context

25Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa.” 1 Mfano Wa Mbegu Inayoota

27Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.

Read all of Mark 4

Cross References

Proverbs 11:18Mtu mwovu hupata ujira wa udanganyifu, 2 bali yeye apandaye haki huvuna tuzo ya uhakika. 1

Ecclesiastes 11:6Panda mbegu yako asubuhi, 2 nako jioni usiruhusu mikono yako ilegee, 1 kwa maana hujui ni ipi itakayofanikiwa, 2 kwamba ni hii au ni ile, 2 au kwamba zote zitafanikiwa sawasawa. 1 Mkumbuke Muumba Wako Ukiwa Bado Kijana 1

Isaiah 32:20tazama jinsi utakavyobarikiwa, 2 ukipanda mbegu yako katika kila kijito, 1 na kuwaacha ngʼombe wako 2 na punda wajilishe kwa uhuru.

Matthew 4:17Tangu wakati huo, Yesu alianza kuhubiri akisema: “Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.” 1 Yesu Awaita Wanafunzi Wake Wa Kwanza (Marko 1:16-20; Luka 5:1-11)

Matthew 13:11Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.

Matthew 13:31Akawaambia mfano mwingine, akasema, “Ufalme wa Mbinguni ni kama punje ya haradali, ambayo mtu aliichukua, akaipanda shambani mwake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 4:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 4:25Mark 4Mark 4:27 →