John 4:17
Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”
Cross References
John 4:29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?” + 4:29 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.