John 4:16
Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus saith unto her, Go, call thy husband, and come hither.
In Context
17Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume.
Cross References
John 1:47Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”
John 4:18Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”
Hebrews 4:13Wala hakuna kiumbe chochote kilichofichika machoni pa Mungu. Kila kitu kimefunuliwa na kiko wazi machoni pake yeye ambaye kwake ni lazima tutatoa hesabu. 1 Yesu Kristo Kuhani Mkuu Kuliko Wote