John 4:18
Kwa maana umeshakuwa na wanaume watano na mwanaume unayeishi naye sasa si mume wako! Umesema ukweli.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume.
19Yule mwanamke akasema, “Bwana, naona bila shaka wewe ni nabii.
Cross References
Genesis 20:3Lakini Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto wakati wa usiku na kumwambia, “Wewe ni kama mfu kwa sababu ya huyu mwanamke uliyemchukua; yeye ni mke wa mtu.”
Genesis 34:7Basi wana wa Yakobo walikuwa wamerudi kutoka mashambani mara tu waliposikia kilichotokea. Walikuwa wamejawa na huzuni na ghadhabu, kwa sababu Shekemu alikuwa amefanya jambo la aibu katika Israeli kwa kukutana kimwili na binti wa Yakobo, kitu ambacho hakingepasa kufanyika.
Numbers 5:29“ ‘Basi, hii ndiyo sheria ya wivu mwanamke anapopotoka na kujitia unajisi akiwa ameolewa na mumewe,
Jeremiah 3:20Lakini kama mwanamke asiye mwaminifu kwa mumewe, 2 vivyo hivyo mmekosa uaminifu kwangu pia, ee nyumba ya Israeli,” 4 asema Bwana. 1
Ezekiel 16:35“ ‘Kwa hiyo, wewe kahaba, sikia neno la Bwana!
John 4:16Yesu akamjibu, “Nenda ukamwite mumeo, uje naye hapa.”