John 5:10
Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali wewe kubeba mkeka wako.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Yeye akawajibu, “Yule mtu aliyeniponya aliniambia, ‘Chukua mkeka wako na uende.’ ”
Cross References
Exodus 31:12Kisha Bwana akamwambia Mose,
Isaiah 58:13“Kama ukitunza miguu yako isivunje Sabato, 2 na kutokufanya kama vile upendavyo katika siku yangu takatifu, 1 kama ukiita Sabato siku ya furaha 2 na siku takatifu ya Bwana ya kuheshimiwa, 1 kama utaiheshimu kwa kutoenenda 2 katika njia zako mwenyewe, 1 na kutokufanya yakupendezayo 2 au kusema maneno ya upuzi, 1
Jeremiah 17:27Lakini ikiwa hamtanitii mimi kwa kuitakasa Sabato na kwa kutochukua mzigo wowote mnapoingia katika malango ya Yerusalemu wakati wa Sabato, basi nitawasha moto usiozimika katika malango ya Yerusalemu utakaoteketeza ngome zake.’ ”
Mark 2:24Mafarisayo wakamwambia, “Tazama, mbona wanafanya jambo lisilo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Luke 6:2Baadhi ya Mafarisayo wakawauliza, “Mbona mnafanya mambo yasiyo halali kufanywa siku ya Sabato?”
Luke 23:56Kisha wakarudi nyumbani, wakaandaa manukato na marhamu ya kuupaka huo mwili. Lakini wakapumzika siku ya Sabato kama ilivyoamriwa.