John 5:9
Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.”
Cross References
Matthew 12:10na huko alikuwepo mtu aliyepooza mkono. Wakitafuta sababu ya kumshtaki Yesu, wakamuuliza, “Je, ni halali kuponya siku ya Sabato?”
Mark 1:42Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika.
Mark 5:29Mara kutoka damu kwake kukakoma, naye akajisikia mwilini mwake amepona kabisa.
Mark 10:52Yesu akamwambia, “Nenda zako, imani yako imekuponya.” Mara akapata kuona, akamfuata Yesu njiani.
John 5:10Kwa hiyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, “Leo ni Sabato, si halali wewe kubeba mkeka wako.”
John 7:23Ikiwa mtoto aweza kutahiriwa siku ya Sabato kusudi sheria ya Mose isivunjwe, kwa nini mnanikasirikia kwa kumponya mtu mwili wake wote siku ya Sabato?