John 6:41
Wayahudi wakaanza kunungʼunika kwa kuwa alisema, “Mimi ndimi mkate ulioshuka kutoka mbinguni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The Jews then murmured at him, because he said, I am the bread which came down from heaven.
In Context
Cross References
Luke 15:2Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”
John 6:33Kwa maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.”
John 6:48Mimi ni mkate wa uzima.
John 6:58Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, si kama ule mkate baba zenu waliokula nao wakafa. Lakini yeye aulaye mkate huu ataishi milele.”
John 6:66Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata.
1 Corinthians 10:10Msinungʼunike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na mharabu.