John 7:36
Yeye ana maana gani anaposema, ‘Mtanitafuta lakini hamtaniona,’ na, ‘nami niliko ninyi hamwezi kuja’?” 1 Mito Ya Maji Ya Uzima
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
John 3:9Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
John 6:52Ndipo Wayahudi wakaanza kuhojiana vikali wao kwa wao wakisema, “Mtu huyu awezaje kutupatia mwili wake tuule?”
John 7:34Mtanitafuta lakini hamtaniona, nami niliko ninyi hamwezi kuja.”
John 16:17Baadhi ya wanafunzi wakaulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona’? Naye ana maana gani asemapo, ‘Kwa sababu ninakwenda kwa Baba’?”