The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 8 › John 8:18

John 8:18

Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma hunishuhudia.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I am one that bear witness of myself, and the Father that sent me beareth witness of me.

In Context

17Imeandikwa katika Sheria yenu kwamba, ushahidi wa watu wawili ni thabiti.

19Ndipo wakamuuliza, “Huyo Baba yako yuko wapi?” Yesu akawajibu, “Ninyi hamnifahamu mimi ni nani, wala hammfahamu Baba yangu. Kama mngenifahamu mimi, mngemfahamu na Baba yangu.”

Read all of John 8

Cross References

John 5:31“Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli.

John 8:25Wakamuuliza, “Wewe ni nani?” Naye Yesu akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nimekuwa nikiwaambia tangu mwanzo.

John 8:51Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele.”

John 10:9Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

John 10:14“Mimi ndimi mchungaji mwema. Ninawajua kondoo wangu nao kondoo wangu wananijua.

John 11:25Yesu akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 8:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 8:17John 8John 8:19 →