The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 9 › John 9:14

John 9:14

Basi siku hiyo Yesu alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it was the sabbath day when Jesus made the clay, and opened his eyes.

In Context

13Wakamleta kwa Mafarisayo yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali.

15Mafarisayo nao wakaanza kumuuliza alivyopata kuponywa. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nikanawa na sasa ninaona.”

Read all of John 9

Cross References

Mark 2:23Siku moja ya Sabato, Yesu pamoja na wanafunzi wake walikuwa wakipita katikati ya mashamba ya nafaka. Walipokuwa wakitembea, wanafunzi wake wakaanza kuvunja masuke.

Luke 13:10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.

John 5:9Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.

John 7:21Yesu akawajibu, “Nimefanya muujiza mmoja na nyote mkastaajabu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 9:13John 9John 9:15 →