Luke 13:10
Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he was teaching in one of the synagogues on the sabbath.
In Context
Cross References
Matthew 4:23Yesu akapita katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi miongoni mwa watu.
Luke 4:44Naye aliendelea kuhubiri katika masinagogi ya Uyahudi.