John 9:38
Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, Lord, I believe. And he worshipped him.
In Context
37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”
Cross References
Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.
Matthew 14:33Ndipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Yesu, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 1 Yesu Awaponya Wagonjwa Genesareti (Marko 6:53-56)
Matthew 28:17Walipomwona, wakamwabudu; lakini baadhi yao wakaona shaka.
John 20:28Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”