John 9:40
Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 23:16“Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’
John 7:47Mafarisayo wakajibu, “Je, nanyi pia mmedanganyika?
Romans 2:19kama unatambua kuwa wewe ni kiongozi wa vipofu, na mwanga kwa wale walio gizani,