Yona 1:15
Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So they took up Jonah, and cast him forth into the sea: and the sea ceased from her raging.
In Context
16Katika jambo hili watu wakamwogopa Bwana sana, wakamtolea Bwana dhabihu na kumwekea nadhiri.
Cross References
Joshua 7:26Wakakusanya lundo la mawe juu ya Akani, ambalo lipo mpaka leo. Naye Bwana akageuka kutoka hasira yake kali. Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Bonde la Akori + 7:26 Akori yamaanisha taabu . tangu siku hiyo.
2 Samuel 21:14Wakazika mifupa ya Sauli na ya mwanawe Yonathani katika kaburi la Kishi, babaye Sauli, huko Sela katika nchi ya Benyamini, nao wakafanya kila kitu mfalme alichoagiza. Baada ya hayo, Mungu akajibu maombi kwa ajili ya nchi. 1 Vita Dhidi Ya Wafilisti (1 Nyakati 20:4-8)
Psalms 89:9Wewe unatawala bahari yenye msukosuko; 2 wakati mawimbi yake yanapoinuka, wewe unayatuliza. 1
Psalms 107:29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, 2 mawimbi ya bahari yakatulia. 1
Matthew 8:26Naye Yesu akawaambia, “Kwa nini mnaogopa, enyi wa imani haba?” Kisha akaamka na kukemea dhoruba na mawimbi, nako kukawa shwari kabisa.