The Bible Software
bible.softwareJonahJonah 1 › Jonah 1:14

Jonah 1:14

Ndipo wakamlilia Bwana, “Ee Bwana, tafadhali usituue kwa kuondoa uhai wa mtu huyu. Usituhesabie hatia kwa kuutoa uhai wa mtu asiyekuwa na hatia, kwa kuwa wewe, Ee Bwana, umefanya kama ilivyokupendeza.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Wherefore they cried unto the LORD, and said, We beseech thee, O LORD, we beseech thee, let us not perish for this man’s life, and lay not upon us innocent blood: for thou, O LORD, hast done as it pleased thee.

In Context

13Badala yake, wale watu walijitahidi kupiga makasia wawezavyo ili wapate kurudi pwani. Lakini hawakuweza, kwa kuwa bahari ilizidi kuchafuka kuliko mwanzo.

15Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.

Read all of Jonah 1

Cross References

Genesis 9:6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, 2 damu yake itamwagwa na mwanadamu, 1 kwa kuwa katika mfano wa Mungu, 2 Mungu alimuumba mwanadamu.

Psalms 107:28Ndipo walipomlilia Bwana katika shida yao, 2 naye akawatoa kwenye taabu yao. 1

Psalms 135:6Bwana hufanya lolote apendalo, 2 mbinguni na duniani, 2 katika bahari na vilindi vyake vyote. 1

Daniel 4:34Mwisho wa huo wakati, mimi Nebukadneza, niliinua macho yangu kuelekea mbinguni, nazo fahamu zangu zikanirudia. Ndipo nikamsifu Yeye Aliye Juu Sana, nikamheshimu na kumhimidi yeye aishiye milele. 1 Utawala wake ni utawala wa milele; 2 ufalme wake hudumu kutoka kizazi na kizazi. 1

Jonah 1:16Katika jambo hili watu wakamwogopa Bwana sana, wakamtolea Bwana dhabihu na kumwekea nadhiri.

Acts 28:4Wale wenyeji wa kile kisiwa walipomwona yule nyoka akiningʼinia mkononi mwa Paulo, wakaambiana, “Huyu mtu lazima awe ni muuaji, ingawa ameokoka kutoka baharini, haki haijamwacha aishi.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jonah 1:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jonah 1:13Jonah 1Jonah 1:15 →