Jonah 1:16
Katika jambo hili watu wakamwogopa Bwana sana, wakamtolea Bwana dhabihu na kumwekea nadhiri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the men feared the LORD exceedingly, and offered a sacrifice unto the LORD, and made vows.
In Context
15Kisha walimchukua Yona, wakamtupa baharini nayo bahari iliyokuwa imechafuka ikatulia.
Cross References
Genesis 8:20Kisha Noa akamjengea Bwana madhabahu, akachukua baadhi ya wale wanyama na ndege wote walio safi, akatoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.
Judges 13:16Malaika wa Bwana akamjibu, “Hata kama utanizuia, sitakula chochote kwako. Lakini ukitaka kuandaa sadaka ya kuteketezwa, mtolee Bwana hiyo sadaka.” (Kwa kuwa Manoa hakujua kuwa alikuwa malaika wa Bwana.)
Job 37:24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni, 2 kwa kuwa yeye hamstahi yeyote anayejidhania kuwa ana hekima.”
Psalms 66:13Nitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa 2 na kukutimizia nadhiri zangu: 1
Psalms 116:14Nitazitimiza nadhiri zangu kwa Bwana 2 mbele za watu wake wote. 1
Isaiah 26:9Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku, 2 wakati wa asubuhi roho yangu yakuonea shauku. 1 Wakati hukumu zako zinapokuja juu ya dunia, 2 watu wa ulimwengu hujifunza haki. 1