The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 3 › Isaya 3:15

Isaya 3:15

Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

What mean ye that ye beat my people to pieces, and grind the faces of the poor? saith the LORD GOD of hosts.

In Context

14Bwana anaingia katika hukumu 2 dhidi ya wazee na viongozi wa watu wake: 1 “Ninyi ndio mlioharibu shamba langu la mizabibu, 2 mali zilizonyangʼanywa maskini zimo nyumbani mwenu. 1

16Bwana asema, 2 “Wanawake wa Sayuni wana kiburi, 1 wanatembea na shingo ndefu, 2 wakikonyeza kwa macho yao, 1 wanatembea kwa hatua za madaha, 2 wakiwa na mapambo ya njuga kwenye vifundo vya miguu yao. 1

Read all of Isaya 3

Cross References

Exodus 5:14Wasimamizi wa Kiisraeli waliochaguliwa na viongozi wa watumwa wa Farao walipigwa na kuulizwa, “Kwa nini hamkutimiza kiwango chenu cha kutengeneza matofali jana na leo, kama mwanzoni?”

Proverbs 30:14wale ambao meno yao ni panga 2 na ambao mataya yao yamewekwa visu 1 kuwaangamiza maskini katika nchi, 2 na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu. 1

Ezekiel 18:2“Je, ninyi watu mna maana gani kutumia mithali hii inayohusu nchi ya Israeli: 1 “ ‘Baba wamekula zabibu zenye chachu, 2 nayo meno ya watoto yametiwa ganzi’?

Amos 2:7Wanakanyaga juu ya vichwa vya maskini, 2 kama vile juu ya mavumbi ya nchi, 2 na kukataa haki kwa walioonewa. 1 Baba na mwanawe hushiriki msichana mmoja, 2 kwa hivyo hulinajisi Jina langu takatifu. 1

Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”

Micah 3:3ninyi mnaokula nyama ya watu wangu, 2 mnaowachuna ngozi 2 na kuvunja mifupa yao vipande vipande; 1 mnaowakatakata kama nyama 2 ya kuwekwa kwenye sufuria 1 na kama nyama 2 ya kuwekwa kwenye chungu?” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 3:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 3:14Isaya 3Isaya 3:16 →