Jonah 2:3
Ulinitupa kwenye kilindi, 2 ndani kabisa ya moyo wa bahari, 2 mikondo ya maji ilinizunguka, 1 mawimbi yako yote na viwimbi 2 vilipita juu yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 69:1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1
Psalms 88:5Nimetengwa pamoja na wafu, 2 kama waliochinjwa walalao kaburini, 1 ambao huwakumbuki tena, 2 ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako. 1
Psalms 116:2Kwa sababu amenitegea sikio lake, 2 nitamwita siku zote za maisha yangu. 1
Lamentations 3:54maji yalifunika juu ya kichwa changu, 2 nami nikafikiri nilikuwa karibu 2 kukatiliwa mbali. 1
Jonah 1:12Akawajibu, “Niinueni mnitupe baharini, nayo itakuwa shwari. Ninajua mawimbi haya makubwa yamewatokea kwa ajili ya kosa langu.”