The Bible Software
bible.softwareMaombolezoMaombolezo 3 › Maombolezo 3:54

Maombolezo 3:54

maji yalifunika juu ya kichwa changu, 2 nami nikafikiri nilikuwa karibu 2 kukatiliwa mbali. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Waters flowed over mine head; then I said, I am cut off.

In Context

53Walijaribu kukomesha maisha yangu ndani ya shimo 2 na kunitupia mawe; 1

55Nililiitia jina lako, Ee Bwana, 2 kutoka vina vya shimo. 1

Read all of Maombolezo 3

Cross References

Job 17:11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika, 2 vivyo hivyo shauku za moyo wangu. 1

Psalms 18:4Kamba za mauti zilinizunguka, 2 mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 1

Psalms 69:1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1

Psalms 124:4mafuriko yangalitugharikisha, 2 maji mengi yangalitufunika, 1

Isaiah 53:8Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa. 2 Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake? 1 Kwa maana alikatiliwa mbali na nchi ya walio hai, 2 alipigwa kwa ajili ya makosa ya watu wangu. 1

Ezekiel 37:11Ndipo akaniambia: “Mwanadamu, mifupa hii ni nyumba yote ya Israeli. Nao wanasema, ‘Mifupa yetu imekauka na tumaini letu limetoweka, tumekatiliwa mbali.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Maombolezo 3:54

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Maombolezo 3:53Maombolezo 3Maombolezo 3:55 →