The Bible Software
bible.softwareJonahJonah 2 › Jonah 2:7

Jonah 2:7

“Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka, 2 nilikukumbuka wewe, Bwana, 1 nayo maombi yangu yalikufikia wewe, 2 katika Hekalu lako takatifu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When my soul fainted within me I remembered the LORD: and my prayer came in unto thee, into thine holy temple.

In Context

6Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima, 2 makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele. 1 Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni, 2 Ee Bwana Mungu wangu. 1

8“Wale watu wanaongʼangʼana na sanamu zisizofaa 2 hupoteza neema ile ambayo ingekuwa yao. 1

Read all of Jonah 2

Cross References

2 Chronicles 30:27Ndipo makuhani na Walawi wakasimama wakawabariki watu, naye Mungu akawasikia, kwa sababu maombi yao yalifika mbinguni, makao yake matakatifu.

Psalms 18:6Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 nilimlilia Mungu wangu anisaidie. 1 Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu, 2 kilio changu kikafika mbele zake, 2 masikioni mwake. 1

Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1

Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na

Psalms 43:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu 2 Mwokozi wangu na Mungu wangu.

Psalms 77:10Ndipo nikawaza, “Huu ndio udhaifu wangu: 2 lakini nitakumbuka 1 miaka ya mkono wa kuume 2 wa Aliye Juu Sana.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jonah 2:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jonah 2:6Jonah 2Jonah 2:8 →