Jonah 3:7
Ndipo akatoa tangazo katika Ninawi yote: “Kwa amri ya mfalme na wakuu wake: “Msiruhusu mtu yeyote au mnyama, makundi ya ngʼombe au wanyama wengine wafugwao, kuonja kitu chochote, msiwaruhusu kula wala kunywa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 20:3Yehoshafati akaogopa, akaazimu kumtafuta Bwana, na akatangaza kwa Yuda wote kufunga.
Joel 1:18Jinsi gani ngʼombe wanavyolia! 2 Makundi ya mifugo yanahangaika 1 kwa sababu hawana malisho; 2 hata makundi ya kondoo yanateseka. 1
Jonah 3:5Watu wa Ninawi wakamwamini Mungu, wakatangaza kufunga, watu wote kuanzia mkubwa sana hadi yule mdogo kabisa, wakavaa nguo za gunia.