The Bible Software
bible.softwareYoeliYoeli 1 › Yoeli 1:18

Yoeli 1:18

Jinsi gani ngʼombe wanavyolia! 2 Makundi ya mifugo yanahangaika 1 kwa sababu hawana malisho; 2 hata makundi ya kondoo yanateseka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

How do the beasts groan! the herds of cattle are perplexed, because they have no pasture; yea, the flocks of sheep are made desolate.

In Context

17Mbegu zinakauka 2 chini ya mabonge ya udongo. 1 Ghala zimeachwa katika uharibifu, 2 ghala za nafaka zimebomolewa, 2 kwa maana hakuna nafaka. 1

19Kwako, Ee Bwana, naita, 2 kwa kuwa moto umeteketeza 2 malisho ya mbugani 1 na miali ya moto imeunguza 2 miti yote shambani. 1

Read all of Yoeli 1

Cross References

1 Kings 18:5Ahabu alikuwa amemwambia Obadia, “Nenda katika nchi yote kwenye vijito vyote na mabonde. Huenda tunaweza kupata majani ya kuwalisha farasi na nyumbu wapate kuishi ili tusilazimike kuwaua hata mmoja wa wanyama wetu.”

Jeremiah 14:5Hata kulungu mashambani 2 anamwacha mtoto wake aliyezaliwa wakati huo huo 2 kwa sababu hakuna majani. 1

Joel 1:20Hata wanyama wa porini wanakuonea shauku; 2 vijito vya maji vimekauka, 1 na moto umeteketeza 2 malisho yote ya mbugani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yoeli 1:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yoeli 1:17Yoeli 1Yoeli 1:19 →