Yoshua 13:5
eneo la Wagebali; + 13:5 Yaani eneo la Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). Lebanoni yote kuelekea mashariki, kuanzia Baal-Gadi chini ya Mlima Hermoni hadi Lebo-Hamathi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 1:7Vunjeni kambi, msonge mbele kuelekea nchi ya vilima ya Waamori; nendeni kwa watu wote ambao ni majirani wa Araba, katika milima, upande wa magharibi chini ya vilima, katika Negebu na kandokando ya pwani, mpaka nchi ya Wakanaani hadi Lebanoni, na kufika mto mkubwa Frati.
Joshua 11:17kuanzia Mlima Halaki ambao umeinuka kuelekea Seiri hadi Baal-Gadi katika Bonde la Lebanoni chini ya Mlima Hermoni. Akawateka wafalme wake wote, akawapiga na kuwaua.
1 Kings 5:18Mafundi wa Solomoni, wa Hiramu na watu wa Gebali + 5:18 Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). walikata na kuandaa mbao na mawe kwa ajili ya ujenzi wa Hekalu.
Isaiah 10:9Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi? 2 Hamathi si kama Arpadi, 2 nayo Samaria si kama Dameski? 1
Amos 6:2Nendeni Kalne mkaone kutoka huko; 2 mwende hadi Hamathi iliyo kuu, 2 kisha mshuke hadi Gathi ya Wafilisti. 1 Je, wao ni bora kuliko falme zenu mbili? 2 Je, nchi yao ni kubwa kuliko yenu? 1