The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 10 › Isaya 10:9

Isaya 10:9

Je, Kalno hakutendwa kama Karkemishi? 2 Hamathi si kama Arpadi, 2 nayo Samaria si kama Dameski? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Is not Calno as Carchemish? is not Hamath as Arpad? is not Samaria as Damascus?

In Context

8Maana asema, ‘Je, wafalme wote 2 si majemadari wangu? 1

10Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, 2 falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: 1

Read all of Isaya 10

Cross References

Genesis 10:10Vituo vyake vya kwanza katika ufalme wake vilikuwa Babeli, Ereki, Akadi na Kalne katika Shinari.

2 Kings 16:9Mfalme wa Ashuru akamwitikia kwa kushambulia Dameski na kuiteka. Akawahamishia wenyeji wake huko Kiri, na kumuua Resini.

2 Kings 17:24Mfalme wa Ashuru akawaleta watu kutoka Babeli, Kutha, Ava, Hamathi na Sefarvaimu na kuwaweka katika miji ya Samaria badala ya Waisraeli. Wakaimiliki Samaria na kuishi katika miji yake.

2 Kings 18:10Baada ya miaka mitatu Waashuru wakautwaa. Kwa hiyo Samaria ulitekwa katika mwaka wa sita wa utawala wa Mfalme Hezekia, ambao ulikuwa mwaka wa tisa wa utawala wa Hoshea mfalme wa Israeli.

Isaiah 7:8kwa kuwa kichwa cha Aramu ni Dameski, 2 na kichwa cha Dameski ni Resini peke yake. 1 Katika muda wa miaka sitini na mitano, 2 Efraimu atakuwa ameharibiwa 2 kiasi kwamba hataweza tena kuwa taifa. 1

Isaiah 33:8Njia kuu zimeachwa, 2 hakuna wasafiri barabarani. 1 Mkataba umevunjika, 2 mashahidi wake wamedharauliwa, + 33:8 Au: miji yake imedharauliwa. 2 hakuna yeyote anayeheshimiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 10:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 10:8Isaya 10Isaya 10:10 →