Yoshua 19:32
Kura ya sita ikaangukia kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1
Numbers 26:55Hakikisha kuwa nchi inagawanywa kwa kura. Kile kitakachorithiwa na kila kikundi kitakuwa kwa kulingana na majina ya kabila la babu yao.
Judges 1:33Wala Naftali hawakuwafukuza wale walioishi Beth-Shemeshi wala wale walioishi Beth-Anathi; lakini Naftali nao pia wakaishi miongoni mwa Wakanaani, wenyeji wa nchi, nao wale walioishi Beth-Shemeshi na Beth-Anathi wakawa watumishi wao katika kazi ya kulazimishwa.
1 Kings 4:15Ahimaasi: katika Naftali (alikuwa amemwoa Basemathi binti Solomoni); 1
Matthew 4:13Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,