Genesis 35:25
Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Bilhah, Rachel’s handmaid; Dan, and Naphtali:
In Context
24Wana wa Raheli walikuwa: 2 Yosefu na Benyamini. 1
Cross References
Genesis 30:4Hivyo Raheli akampa Yakobo Bilha awe mke wake. Yakobo akakutana naye kimwili,
Genesis 37:2Zifuatazo ni habari za Yakobo. Yosefu, kijana wa miaka kumi na saba, alikuwa akichunga makundi ya kondoo na mbuzi pamoja na ndugu zake wa mama wengine, yaani wana wa Bilha na wana wa Zilpa wake za baba yake, naye akawa akimletea baba yake taarifa mbaya kuhusu hao ndugu zake.
Genesis 46:25Hawa walikuwa wana wa Bilha aliomzalia Yakobo, ambaye Labani alikuwa amempa Raheli binti yake; jumla yao walikuwa saba.
Joshua 19:40Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
Judges 5:18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao, 2 vilevile nao watu wa Naftali. 1