Matthew 4:13
Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Yesu aliposikia kwamba Yohana Mbatizaji alikuwa ametiwa gerezani, alirudi Galilaya.
14ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema: 1
Cross References
Joshua 19:10Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo: 1 Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi.
Matthew 11:23Nawe Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu. + 11:23 Kuzimu ni Mahali pa wafu. Miujiza iliyofanyika kwako ingefanyika huko Sodoma, mji huo ungalikuwepo hadi leo.
Mark 1:21Wakaenda mpaka Kapernaumu. Ilipofika siku ya Sabato, mara Yesu akaingia sinagogi, akaanza kufundisha.
Luke 4:30Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake. 1 Yesu Atoa Pepo Mchafu (Marko 1:21-28)
John 4:46Hivyo Yesu akaja tena mpaka Kana ya Galilaya, kule alikokuwa amebadili maji kuwa divai. Huko kulikuwepo na afisa mmoja wa mfalme, ambaye mwanawe alikuwa mgonjwa huko Kapernaumu.
John 6:24Mara wale watu wakatambua kwamba Yesu hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Yesu. 1 Yesu Ni Mkate Wa Uzima