Joshua 21:5
Wazao wengine waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za makabila ya Efraimu, Dani na nusu ya Manase.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 6:16Haya ndiyo majina ya wana wa Lawi kufuatana na orodha zao: Gershoni, Kohathi na Merari. Lawi aliishi miaka 137. 1
Joshua 21:20Koo nyingine za Wakohathi, ambao pia ni Walawi, walipewa miji kutoka kabila la Efraimu: 1
1 Chronicles 6:18Wana wa Kohathi walikuwa: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1
1 Chronicles 6:61Wazao waliobaki wa Wakohathi walipewa miji kumi kutoka koo za nusu ya kabila la Manase.