Joshua 21:7
Wazao wa Merari, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na miwili kutoka makabila ya Reubeni, Gadi na Zabuloni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 6:19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. 1 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 1
Joshua 21:34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: 4 kutoka kabila la Zabuloni, 4 Yokneamu, Karta,
1 Chronicles 6:62Wazao wa Gershoni, ukoo kwa ukoo, walipewa miji kumi na mitatu kutoka kwa makabila ya Isakari, Asheri na Naftali kutoka sehemu ya kabila la Manase huko Bashani.
1 Chronicles 6:77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: 2 kutoka kabila la Zabuloni 2 walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho. 1