Yoshua 24:6
Nilipowatoa baba zenu Misri, mlifika kwenye bahari, nao Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka kwenye Bahari ya Shamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 12:37Waisraeli wakasafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi. Walikuwepo wanaume wapatao 600,000 waendao kwa miguu bila kuhesabu wanawake na watoto.
Exodus 14:1Ndipo Bwana akamwambia Mose,
Exodus 14:9Nao Wamisri, yaani farasi wote wa Farao na magari ya vita, wapanda farasi na vikosi vya askari, wakawafuatia Waisraeli, wakawakuta karibu na Pi-Hahirothi, mkabala na Baal-Sefoni walipokuwa wamepiga kambi kando ya bahari.
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Psalms 78:13Aliigawanya bahari akawapitisha, 2 alifanya maji yasimame imara kama ukuta. 1
Isaiah 63:12aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu 2 kuwa katika mkono wa kuume wa Mose, 1 aliyegawa maji ya bahari mbele yao, 2 ili kujipatia jina milele, 1