Yoshua 4:23
Kwa maana Bwana Mungu wenu alikausha maji ya Yordani mbele yenu, hadi mlipomaliza kuvuka. Bwana Mungu wenu alifanya haya kwa Mto Yordani sawasawa na kile alichoifanyia Bahari ya Shamu wakati alipoikausha mbele yetu hadi tulipomaliza kuvuka.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Basi waambieni, ‘Israeli ilivukia mahali pakavu katika Mto Yordani.’
Cross References
Exodus 15:19Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, Bwana aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu.
Psalms 77:16Maji yalikuona, Ee Mungu, 2 maji yalikuona yakakimbia, 2 vilindi vilitetemeka. 1
Isaiah 43:16Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyefanya njia baharini, 2 mahali pa kupita kwenye maji mengi, 1