The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:2

Isaiah 59:2

Lakini maovu yenu yamewatenga 2 ninyi na Mungu wenu, 1 dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, 2 ili asisikie. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But your iniquities have separated between you and your God, and your sins have hid his face from you, that he will not hear.

In Context

1Hakika mkono wa Bwana si mfupi hata usiweze kuokoa, 2 wala sikio lake si zito hata lisiweze kusikia. 1

3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Deuteronomy 32:19Bwana akaona hili, akawakataa, 2 kwa sababu alikasirishwa 2 na wanawe na binti zake. 1

1 Samuel 4:3Askari waliporudi kambini, wazee wa Israeli wakawauliza, “Kwa nini Bwana ameruhusu leo tushindwe mbele ya Wafilisti? Tuleteni Sanduku la Agano la Bwana kutoka Shilo, ili lipate kwenda pamoja nasi, na kutuokoa kutoka mikono ya adui zetu.”

Isaiah 1:15Mnaponyoosha mikono yenu katika maombi, 2 nitaficha macho yangu nisiwaone; 1 hata mkiomba maombi mengi 2 sitasikiliza. 1 Mikono yenu imejaa damu; 2

Isaiah 57:17Nilighadhibika na tamaa yake ya dhambi; 2 nilimwadhibu, nikauficha uso wangu kwa hasira, 2 na bado aliendelea katika njia zake za tamaa. 1

Jeremiah 5:25Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, 2 dhambi zenu zimewazuia msipate mema. 1

Ezekiel 39:24Niliwatendea sawasawa na uchafu wao na makosa yao, nami nikawaficha uso wangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:1Isaiah 59Isaiah 59:3 →