Proverbs 20:18
Fanya mipango kwa kutafuta mashauri, 2 ukipigana vita, tafuta maelekezo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every purpose is established by counsel: and with good advice make war.
In Context
19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, 2 kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 1
Cross References
Judges 9:29Laiti watu hawa wangekuwa chini ya amri yangu! Basi mimi ningemwondoa huyo Abimeleki. Ningemwambia Abimeleki, ‘Ondoa jeshi lako lote.’ ”
Judges 20:7Sasa, ninyi Waisraeli wote, semeni na mtoe uamuzi wenu.”
Judges 20:23Waisraeli wakapanda mbele za Bwana na kulia mbele zake mpaka jioni, nao wakamuuliza Bwana wakisema, “Je, tupande tena kupigana vita na Wabenyamini, ndugu zetu?” Bwana akajibu, “Pandeni mkapigane nao.”
2 Samuel 2:26Abneri akamwita Yoabu, akamwambia, “Je, ni lazima upanga uendelee kuangamiza milele? Hutambui kwamba jambo hili litaishia katika uchungu? Utaacha kuwaagiza watu wako waache kuwafuatilia ndugu zao hata lini?”
2 Kings 18:20Unasema mnayo mikakati na nguvu za kijeshi, lakini unasema maneno matupu tu. Je, wewe unamtegemea nani, hata ukaniasi mimi?
Proverbs 11:14Pasipo ushauri wa hekima taifa huanguka, 2 bali washauri wengi hufanya ushindi uwe wa hakika. 1