Yoshua 8:20
Watu wa Ai wakaangalia nyuma, wakauona moshi wa huo mji ukielekea angani lakini hawakuwa na nafasi ya kutoroka kwa upande wowote, kwa kuwa wale Waisraeli waliokuwa wanawakimbia kuelekea jangwani walikuwa wamegeuka nyuma kuwakabili wakimbizaji wao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 19:28Akatazama upande wa Sodoma na Gomora, kuelekea nchi yote ya tambarare, akaona moshi mzito ukipanda kutoka kwenye nchi, kama moshi utokao kwenye tanuru.
Judges 20:41Ndipo watu wa Israeli wakawageukia, nao Wabenyamini wakatiwa hofu, kwa kuwa walitambua kwamba maafa yamewajia.
Psalms 48:5walimwona nao wakashangaa, 2 wakakimbia kwa hofu. 1
Isaiah 34:10Haitazimishwa usiku wala mchana, 2 moshi wake utapaa juu milele. 1 Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, 2 hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. 1
Revelation 6:15Ndipo wafalme wa dunia, wakuu wote, majemadari, matajiri, wenye nguvu na kila mtu, mtumwa na mtu huru, wakajificha katika mapango na kwenye miamba ya milima.
Revelation 19:3Wakasema tena kwa nguvu: 1 “Haleluya! 1 Moshi wake huyo kahaba unapanda juu 2 milele na milele.”