The Bible Software
bible.software › Yoshua › Yoshua 8 › Yoshua 8:28

Yoshua 8:28

Kwa hiyo Yoshua akauchoma moto mji wa Ai na kuufanya kuwa lundo la magofu la kudumu, mahali pa ukiwa hadi leo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Joshua burnt Ai, and made it an heap for ever, even a desolation unto this day.

In Context

27Lakini Israeli wakajichukulia mifugo na nyara za mji huu, kama vile Bwana alivyokuwa amemwagiza Yoshua.

29Akamwangika mfalme wa Ai kwenye mti na kumwacha hapo mpaka jioni. Wakati wa jua kutua, Yoshua akawaamuru wautoe mwili wake kwenye mti na kuutupa kwenye ingilio la lango la mji. Kisha wakalundika mawe makubwa mengi juu yake, ambayo yamesalia mpaka leo. 1 Agano Linafanywa Upya Katika Mlima Ebali

Read all of Yoshua 8

Cross References

Deuteronomy 13:17Hakuna kimoja kati ya vitu vilivyolaaniwa kitakachokutwa mikononi mwenu, ili Bwana ageuze hasira yake kali. Atawahurumia na kuwa na rehema kwenu pia kuongeza idadi yenu, kama alivyowaahidi baba zenu,

2 Kings 19:25“ ‘Je, hujasikia? 2 Zamani sana niliamuru hili. 1 Siku za kale nilipanga hili; 2 sasa nimelifanya litokee, 1 kwamba umegeuza miji yenye ngome 2 kuwa malundo ya mawe. 1

Isaiah 25:2Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, 2 mji wenye ngome kuwa magofu, 1 ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, 2 wala hautajengwa tena kamwe. 1

Jeremiah 49:2Lakini siku zinakuja,” 2 asema Bwana, 1 “nitakapopiga kelele ya vita 2 dhidi ya Raba mji wa Waamoni; 1 utakuwa kilima cha magofu, 2 navyo vijiji vinavyouzunguka 2 vitateketezwa kwa moto. 1 Kisha Israeli atawafukuza 2 wale waliomfukuza,” 4 asema Bwana. 1

Micah 3:12Kwa hiyo kwa sababu yenu, 2 Sayuni italimwa kama shamba, 1 Yerusalemu itakuwa lundo la kokoto, 2 na kilima cha Hekalu 1 kitakuwa kichuguu 2 kilichofunikwa na vichaka.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yoshua 8:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yoshua 8:27Yoshua 8Yoshua 8:29 →