Isaiah 25:2
Umeufanya mji kuwa lundo la kifusi, 2 mji wenye ngome kuwa magofu, 1 ngome imara ya wageni kuwa si mji tena, 2 wala hautajengwa tena kamwe. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Kwa hiyo mataifa yenye nguvu yatakuheshimu, 2 miji ya mataifa katili itakuheshimu wewe. 1
Cross References
Deuteronomy 13:16Kusanyeni nyara zote za mji katika uwanja wa wazi na kuuchoma mji kabisa pamoja na nyara zake zote kama sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana Mungu wenu. Utabaki kuwa magofu milele na hautajengwa tena.
Isaiah 13:21Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, 2 mbweha watajaza nyumba zake, 1 bundi wataishi humo 2 nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo. 1
Isaiah 14:23“Nitaifanya kuwa mahali pa bundi, 2 na kuwa nchi ya matope; 1 nitaifagia kwa ufagio wa maangamizi,” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Unabii Dhidi Ya Ashuru
Isaiah 17:3Mji wenye ngome utatoweka kutoka Efraimu, 2 nao uweza wa ufalme kutoka Dameski; 1 mabaki ya Aramu yatakuwa 2 kama utukufu wa Waisraeli,” 4 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Isaiah 23:13Tazama katika nchi ya Wakaldayo, 2 watu hawa ambao sasa hawaonekani kama wapo! 1 Waashuru wameifanya nchi hiyo 2 kuwa mahali pa viumbe wa jangwani. 1 Wamesimamisha minara yao ya vita kuuzunguka, 2 wameziteka ngome zake na kuziacha tupu 2 na kuufanya kuwa magofu. 1
Isaiah 25:12Atabomoa kuta ndefu za maboma yako 2 na kuziangusha chini, 1 atazishusha chini ardhini, 2 mpaka mavumbini kabisa.