Yoshua 8:3
Basi Yoshua na jeshi lote wakainuka kushambulia Ai. Akachagua watu mashujaa elfu thelathini walio bora miongoni mwa wapiganaji wake, akawapeleka wakati wa usiku
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 17:9Mose akamwambia Yoshua, “Chagua baadhi ya watu wetu na uende kupigana na Waamaleki. Kesho nitasimama juu ya kilima nikiwa na fimbo ya Mungu mkononi mwangu.”
Judges 9:32Sasa, basi, usiku huu wewe uondoke na watu wako ili mje kuwavizia mashambani.
Matthew 24:50Basi bwana wa mtumishi huyo atakuja siku asiyodhani na saa asiyoijua.
1 Thessalonians 5:2kwa kuwa mnajua vyema kwamba siku ya Bwana itakuja kama mwizi ajapo usiku.